Mradi huu ni wa kwanza kwa Tembo
kufanya kijijini, Tanzania
Dar
es Salaam – Februari 15, 2013 – Tembo Architects imetangaza kuwa kampuni
imechaguliwa kusanifu jengo isiyofanana na lolote lile kaskazini mwa Tanzania.
Mradi huu utamuweka katika ramani ya dunia Mike Tembo ambaye ni mbunifu
anaeongoza.
Jengo
hili litakalojengwa katika eneo ambalo bado halijatajwa kaskazini mwa Tanzania
limefadhiliwa na tajiri mmiliki majengo toka Afrika Kusini, Nicholas Van De
Kaamp. Akiwa maarufu kwa ujengaji wake wa nyumba na kuziuza kwa wananchi kwa
kiasi kisichozidi 10,000 ZAR, mwanzilishi huyu inasemekana atauza nyumba vya
jengo hili kwa wananchi wa kipato cha wastani.
Kwa
taarifa zaidi kuhusu Tembo, Van De Kaamp na mradi huu unaokuja tembelea tovuti
hii: http://bit.ly/XIZ02p
No comments:
Post a Comment