22.11.13

Friday, February 15, 2013

Mbunifu majengo maarufu, Mike Tembo achaguliwa kujenga hoteli ya nyota 7 kijijini Tanzania

Mradi huu ni wa kwanza kwa Tembo kufanya kijijini, Tanzania
Dar es Salaam – Februari 15, 2013 – Tembo Architects imetangaza kuwa kampuni imechaguliwa kusanifu jengo isiyofanana na lolote lile kaskazini mwa Tanzania. Mradi huu utamuweka katika ramani ya dunia Mike Tembo ambaye ni mbunifu anaeongoza.
Jengo hili litakalojengwa katika eneo ambalo bado halijatajwa kaskazini mwa Tanzania limefadhiliwa na tajiri mmiliki majengo toka Afrika Kusini, Nicholas Van De Kaamp. Akiwa maarufu kwa ujengaji wake wa nyumba na kuziuza kwa wananchi kwa kiasi kisichozidi 10,000 ZAR, mwanzilishi huyu inasemekana atauza nyumba vya jengo hili kwa wananchi wa kipato cha wastani.
Kwa taarifa zaidi kuhusu Tembo, Van De Kaamp na mradi huu unaokuja tembelea tovuti hii: http://bit.ly/XIZ02p

No comments: