Baada Ya Kuwa Kimya Kidogo Kwa Mwaka Mzima Wa Jana BAD TAITO De
Jr XPLASTAZ Wanakuja Kivingine Na Joint Nyingine Mpya Video Na Oudio Waliompa
Shavu Mo Plus Ngoma Inakwenda kwa Jina La MIGENGESHO Imefanyika Studio Ya Noiz
Mekah Chini Ya DX na Video Yake Imefanywa Na Kampuni Ya Red Film Chini Ya
Innocent Mafuru Iliyopo Arusha Town.
AS BAD TAITO SLOGAN ""IT'S DE SOUND OF HIP
HOP""
No comments:
Post a Comment