22.11.13

Monday, February 18, 2013

Msanii chipukizi Ramadhan Jumanne

Msanii chipukizi katika medani ya BongoFleva Ramadhan Jumanne aka 4R toka pande za singida aja na nyimbo yake ya kwanza kabisa aloipa jina "Kutonipenda" ikiwa ni Zouk-rnb alorecodi studio za noizmekah Arusha. anataraji kufanya ngoma nyingine inayokwenda kwa jina "Si ungeniambia" hapo badae lakini kwanza support "Kutonipenda" kwa kubofya HAPA .kwa mawasiliano ya mahojiano, matamasha na mengineyo wasiliana na 4R kwa simu +255 766 141 566

No comments: