22.11.13

Friday, February 08, 2013

OFFICIAL RELEASE Feza Kessy - Amani Ya Moyo

Baada ya kutambulishwa rasmi na Label ya Unity Entertainment ambayo inasimamiwa na msanii AY... Track ambayo ilikuwa inasubiriwa kutoka kwa msanii Feza Kessy sasa kutoka siku ya Jumatatu ya Tar 11.02.2013.

Track hiyo ambayo itakwenda kwa jina la Amani Ya Moyo ambayo imefanywa chini ya studio za Mpo Africa chini ya Producer Ben Mwamba na kufanyiwa mixing na producer Marco Chali.
Kaa tayari kwa track hiyo

No comments: