the PlayList ni show mpya Times fm 100.5 kila jumapili saa 10 mpaka 11 kamili
jioni ambapo mastaa mbali mbali wa muziki, filamu, soka, mabondia, wanasiasa,
maproducer, video directors na wengine kibao wanachagua na kucheza ngoma za
bongo fleva, ngoma za kiafrika na ngoma za mbele.
Kitu kinasimamiwa na
Lil Ommy (Omary Tambwe)
twitter @LilOmmy,
No comments:
Post a Comment