Tuesday, February 19, 2013

(Video) One (Incredible)- Got Em

3 comments:

  1. HUYU JAMAA YUPO POA AKIIMBA KISWAHILI NA HATA KAMA AKIIMBA KIMALIKIA MATUSI YASIWEPO.NDOMANA WASANII WENGI WA HIP HAWAFANIKIWI KWA SABABU YA MATUSI KATIKA NYIMBO ZAO!!

    ReplyDelete
  2. ...''BUT'' kwangu tatizo liko kwenye umarekani, sizungumzii kiingereza ila matusi, wamarekani wako vile manake ni wamarekani na ni tabia yao, hawawezi imba kitanzania, au kichina au kinamna gani sijui. Keep it real, kitanzania zaidi kama nyimbo zingine zako au kama za grace matata vile, kivyetu zaidi, otherwise we mkali sana tuu.

    ReplyDelete
  3. ngoma imesimama aiseh

    ReplyDelete