Leo ni siku ya kuzaliwa msanii wa Hip Hop hapa Bongo Mwana FA, hii ilikuwa jana usiku pande za Element baada ya jamaa kuyaoga maji ipasavyo hahahaa akiwa na washkaji zake tena bila hurumaaaa hii tunaitaga #teamNDOO
Pande hizo bwana soda huuzwa bei ghali kidogo lakini AY akaona hapana angalau amwagiwe kidogo si mbaya kuikumbuka siku hiyo hahhaaa
Picture kwa hisani ya GongaMx
1 comment:
Happy birthday bro!
Post a Comment