22.11.13

Tuesday, March 12, 2013

Huu ndio utakuwa ujio mwingine wa HEMEDY P.H.D "REST OF MY LIFE "

Msanii wa maigizo nchini na pia anafanya vizuri kwenye Bongo Fleva Hemedy Suleiman aka PHD amezungumza na Bongo Star Link juu ya ujio wake mpya wa wimbo wake unaoitwa REST OF MY LIFE akiwa amemshirikisha MR. BLUE. 

Hemedy amesema wimbo huo mkali sana so anatarajia kuutoa siku ya tarehe 1 mwezi wa 4 mwaka huu na wimbo huo umefanyika pale SEI REC, anawaomba mashabiki wake wakae vizuri anakuja kulivuruga tena game la bongo fleva baana ya kuwaacha na video kali ya GOING CRAZY

No comments: