Mwanadada Yolanda aka
Lady yoo ana mengi sana mwaka huu 2013 kwa maana FemCee huyu anaewakilisha vema
pande za Sanawari arachuga amekwisha kamilisha collabo track mpya na msanii
"YungOmega" wa river camp soldiers katika pini litakalo toka baadae
mwezi wa nne iitwalo "kivipi" ila kwa sasa Lady Yoo anakupa kazi yake
mpya kabisa toka www.noizmekah.com ambayo ni release ya pili muundo wa hiphop
concious track inaitwa "Si Kwamba" download HAPA na kwa mahojiano zaidi piga simu nambari +255
655 394 470
No comments:
Post a Comment