22.11.13

Tuesday, March 12, 2013

MASAWE MTATA - INTRO

Masawe Mtata,kichwa cha Ze comedy ya EATV ametambulisha intro ya ngoma yake mpya kabisa aliyomshirikisha January wa Victoria Band.Producer wa huu mzigo na mtu mzima Chrixtone ndani ya NK Production Mikocheni Tanzania...Kuupata wimbo huu kwa freedownload ingia hapa......

No comments: