22.11.13

Friday, March 08, 2013

Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kujituma kufanya kazi ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume "DAYNA"

Naitwa dayna nyange. mwanamuziki wa bongo freva. ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake wengne duniani kote ktk kuhadhmisha cku ya wanawake duniani.  Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini  wenyewe 2naweza  tena bila ata ya kuwezeshwa.  Nakupitia siku hii muhmu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia  tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na  mauaji yanayoendelea zidi  yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke na  Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea. 
Tupendandane tushikamane WANAWAKE TUNAWEZA. 
 by dayna nyange.

No comments: