SAFARI LAGER NYAMA CHOMA DAR FINALS
Sunday, 10 March 2013 – Leaders Club Grounds.
- Kwa
mara nyingine tena, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia mchuano wa mwisho kuona ni
Bar ipi inayochoma nyama Bomba zaidi jijini Dar Es Salaam!.
- Ni Jumapili hii tarehe 10 March, katika viwanja vya Leaders Club kuanzia saa 4.00asbh hadi saa 12 jioni.
- Njoo
ushuhudie bar zilizoingia fainali zikichuana kukupa Nyama Choma Bomba
zaidi;
- FYATANGA BAR - BOKO,
- SOCCER CITY BAR – SINZA,
- ASSENGA PUB - BUGURUNI,
- UHAKIKA PUB – MTONI KIJICHI na
- TITANIC BAR – VINGUNGUTI.
Washindi watajipatia
zawadi zaidi ya shilingi milioni nne!.
- Njoo uburudike kwa aina tofauti za nyama choma, kuanzia mapande
hadi mishkaki, nyama za Kuku, Ng’ombe na Mbuzi!!.
Chachandu, Kachumbari,
pilipili, ndimu nk.. vitakuwepo.
- Kutakuwa
na zawadi kibao kutoka Safari Lager, burudani za wasanii mbalimbali, na kufunga kazi
jukwaani watakuwepo The African Stars Band, wana Twanga Pepeta!!..
- Tamasha la Safari Lager Nyama Choma jumapili hii pale leaders Club ni BURE, hakuna Kiingilio!.
- Bila Safari Lager, Nyama Choma Haijakamilika!!..
No comments:
Post a Comment