22.11.13

Sunday, March 17, 2013

WALIOJITOKEZA KWENYE USAHILI WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2013

Hii ilikuwa ni usahili wa kuwatafuta washiriki wa Miss Dar Indian Ocean ambao walipatikana washiriki ishirini kutoka kila kitongoji cha Dar es Salaam, pichani ni majaji pamoja na Miss Dar Indian Ocean wa mwaka 2012 wa pili kutoka upande wa kulia. Usahili huu ulifanyika pale posta town kwenye club maarufu inayojulikana kwa jina la Club Much More


 Camera man kutoka 2Eyes

 Baada ya washiriki wote kupita majaji walikuwa na kibarua kizito kuanza kuwachagua wale washiriki 20 waliofanikiwa kuingia katika shindano hilo

 Washiriki wote wakiwa wametulia kusikiliza majina yao yakitajwa

 Ndugu Hamis mwakilishi kutoka Club Bilicanas akiwataja washiriki hao 20

Na hawa ndio washiriki 20 waliofanikiwa kupita

No comments: