22.11.13

Monday, March 11, 2013

"XTREME DEEJAYZ KUGAWA MIXING DVD ZA BURE @NEW MAISHA CLUB IJUMAA HII"

Ijumaa Hii wakali wa madeejays tanzania kili xtreme deejayz watafanya yao ijumaa ijayo new maisha club dar,zawadi kibao zitatolewa na KILIMANJARO ambao ndio main sponser wa usiku huo wa triple bash itafanyika tar 15 mwenzi huu wa 3 na kuelekea mtwara jumamosi ya tarehe 23 na mjini dodoma itakuwa tarehe 30 mwenzi watatu,akiongea na manager wa xdeejayz hyperman hk alisema mwenzi huu wanakuja kivingine kabisa. watatoa zawadi mbali mbali ikiwepo zawadi ya cd za bure za mixing kali za xtreme deejayz zilizomixiwa na bad man DVJ MAJEY cd hizo zitatolewa bure kwa kila atakaeingia mlangoni ijumaa hii zenye nyimbo kali na za kisasa usikose

No comments: