22.11.13

Wednesday, April 03, 2013

(Audio) BizMc ft ToluMnyama na Mokil - Tunawapa

Msanii chipukizi toka pande za Ngaramtoni Arusha BizMc akiwashirikisha ToluMnyama na Mokil katika track mpya mdundo wa Hiphop waloita "Tunawapa" ikiwa ni ngoma toka Noizmekah Production studios Arusha. Download ngoma hiyo HAPA and Enjoy Tanzanian music.

No comments: