22.11.13

Tuesday, April 30, 2013

(Audio) Bob Junior - Kimbiji

11 comments:

Anonymous said...

Big up 2 Bob junior... kazi nzuri kaka, keep it real!

Anonymous said...

Hii nyimboo itampelekaa koraa bob junior una fanyaa music sanass sasa doooh ur are talented halii mwishoo nakupa salute zoteee una fanyaaa kaziii atakaee bishaa kamaa hiii sioo mziki waki mataifaa huyooo ana rohoo mbayss hata ya kumua mama yakee mzaziii hii utafungaaa mwakaa hakunaa kama kimbijii tumesha chokaa mapenziii umeimbaa nyimbooo kubwaaa mnooooo big up sansaaaa.....

Anonymous said...

BOB NASEMA UKWELI YANI NLIKUA NAISIKILIZA HII KAZI YAKO MPYA NIKIWA NA DINGI YANGU DAH BABA KAFUNGUKA VIBAYA MNO YANI NLISHANGAA KWANZA WIMBO ULIVYOISHA DAD AKANIAMBIA NIIPIGE TENA COZ BABA SI MPENZI SANA WA BONGO FLEVA LAKINI HII KASEMA SALUTE KWA MWIMBAJI,AMEISIFIA SANA YANI..SO MINAKUPA HONGERA SANA BRO,HII KAZI ITAKUFIKISHA MBALI SANA UKITULIA NA KUFANYA PROMOTION YA MAANA,SIAMINI KAKA YANI ALICHOSEMA BABA ANGU MZAZI NA KUKUSIFIA SANA

Anonymous said...

bob nakuaminia baba we mkali sana wewe ni zaidi ya mwimbaji yani una talent za kumwaga sana,big up sana kwa ngoma ya kimjiji kaka imesimama sana hii kazi sana 2

Anonymous said...

track nzurijeee?
big up

Anonymous said...

MZIGO UMESIMAMA KAKA HAKUNA KAMA WEWE MIAKA 1000,MTU YYTE ANAWEZA KUSIKILIZA HII KAZI AMINIA SANA BOB

Anonymous said...

Hakunaga kama bob junior hakuna kabisa narudi kwetuu Kimbiji. ...

Anonymous said...

NAKUPA 100 100 MWANANGU,WEWE UNAJUA SANA HUBAHATISHI KABISA,KIMBIJI HII NI BALAAAAA

Anonymous said...

Narudi kwetuu kimbijii jamani iwekee yotee umewekaa nusuu umeni nyima uhondoo we ndo habariu ya mjinii bongeee la ngomaaaa safiii sanaa we ni zaidi ya msaniii hakunaga...

Paulo Makula said...

Bonge la ngma

Anonymous said...

Hahahahaha w mchz noma umeua bob na hyo ndo habar yao..i lyk t