22.11.13

Thursday, April 18, 2013

(Audio) Nakaaya is BACKKKKKKKK akiwa na DUNGA wimbo unaitwa UTUUZIMA DAWA

Nakaaya is BACK, baada yakukaa kwa mda mrefu sasa mwanadada Nakaaya amerudi rasmi na wimbo wake alioupa jina la UTUUZIMA DAWA akiwa amemshirikisha Prod Dunga kutoka mandugu digital. Nakaaya anasema anapenda kumshukuru sana Rich Mavoco kwa sababu yeye ndiye aliyemsaidia kuandika huu wimbo so hana budi kumshukuru sana.

No comments: