22.11.13

Monday, April 15, 2013

(Audio Tear) Izzo Bizness ft. Barnaba & Shaa - LOVE ME

Huu ni ujio mwingine wa Izzo Bizness akiwa amewashirikisha wasanii wenzake kama Barnaba na Shaa. Wimbo huu uliopewa jina la LOVE ME umetengenezwa na Production ya Nahreel halafu voco na mixing zimeenda kufanyiwa pale MJ Rec. 

HIKI NIKIPANDE KIFUPI TU JINSI WIMBO WENYEWE UTAKAVYOANZA. Enjoy

1 comment:

pol dan kishimba said...

kimetulia kinouma, atoe wimbo mzima basi, big up to izzo