"Watu wangu wa nguvu niko kimya kwa kuwa
nawaandalia mambo mazuri mwaka huu tena napenda kuchukua nafasi hii
kuwataarifu ya kwamba kaeni mkao wa kula kwani week ijayo jumanne
natarajia kuachia jiwe jipya kabisa kutoka kwangu ni hatariiiiiii
sanaaaaaaaa! natarajia mtalipokea kwa mikono miwili kwani round hii
nimewaletea kitu roho yenu itapenda# Team Black chatta The Dan dada##
No comments:
Post a Comment