22.11.13

Tuesday, April 02, 2013

BOB JUNIOR awapagawisha wabongo DENMARK kwa show yake kali.

Msanii wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Bob Junior Pasaka hii akiwa kule kwa wenzetu Denmark alipiga bonge moja la show kwa mujibu wa story ninazopewa na wabongo waliohudhuria show hiyo wameniambia walifurahi sana na walijihisi kama wako nyumbani.

 Hapa Bob alikuwa akiimba mduara nasikia ndugu yetu alikatikiwa mauno balaaaaa hahahaa
2 comments:

Anonymous said...

hakunaga km bob junior

Anonymous said...

Sana shombeshombe wakimbize hao