22.11.13

Wednesday, April 17, 2013

(News) DIVA LOVENESS LOVE amtumia ujumbe huu mfupi wa maneno WEMA SEPETU.

Kupitia account yake ya Instagram mwanadada Diva Loveness Love anayetangaza Clouds FM kwenye kipindi cha usiku Ala za Roho, inasemekana kuna mtu amefungua account ya facebook kwa jina hilo la diva na kuanza kumporomoshea mvua ya matusi mwanadada Wema Sepetu.

2 comments:

Anonymous said...

Hahahha uyo alifake account kama sio diamond basi atakua penny koz kidoti is so fly for that shit hehehhe kazii pole diva n wema u guys are a real deal...mtazamo tu.

Anonymous said...

O love u wema....jis kip.making money achana ms pipo