22.11.13

Thursday, April 18, 2013

(News) H. BABA AINGIZA SOKONI PIPI ZENYE JINA LAKE NA JINA LA MKE WAKE

 Katika kuonyesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inakuwa na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi wa kikazi, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini H. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kiutofauti kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na chata zake, pipi zinazojulikana kwa jina la 'H. BABA & FLORA MAPENZI KWA WATOTO'

 KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA HAPA

1 comment:

swalehe said...

H.bb katisha sana big up. Kwake