22.11.13

Tuesday, April 23, 2013

(News) IZZO BUZNESS ANATARAJIA KUZINDUA WIMBO WAKE MPYA JUMAMOSI HII.

Msanii wa Hip Hop nchini anayewakilisha mkoa wa MBEYA Izzo B, jumamosi hii anatarajia kuzindua wimbo wake mpya kabisa unaokwenda kwa jina la LOVE ME. Uzinduzi huo utakaofanyika pale Ambassadors Lounge kwenye jengo la Benjamin Mkapa utapamba na wasanii wenzake ambao ni BARNABA na mwanadada SHAA

3 comments:

Anonymous said...

kaka unataka tupindue laptop kuangalia picha ....... ni jambo dogo sana ila linaongea mengi kuhusu umakini na kazi

Anonymous said...

Liachie goma kaka...

Anonymous said...

acha uxhoga wew! Kwan hapo pcha hauioN? Nyny ndo mnaofanya wa2 wasiendEleE na v7bu Vyenu vya kpuuz