22.11.13

Wednesday, April 24, 2013

(News) REDD'S MISS DAR INDIAN OCEN 2013-SIKU YA WAREMBO

Unakaribishwa katika siku ya warembo wa REDD'S MISS DAR INDIA  OCEAN 2013. Njoo ukutane na kuburudika na warembo watakaoshiriki katika shindano la REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN 2013 kesho katika ukumbi wa SAMAKI SAMAKI uliopo POSTA kuanzia saa moja usiku.Karibu wewe na marafiki zako tujumuike na warembo hawa katika kuifungua weekend hii kwa style tofauti.


No comments: