22.11.13

Monday, April 29, 2013

(News) Vichwa hivi ndivyo vitakavyotoa burudani kesho kwenye REDD'S MISS DAR INDIAN OCEAN

DJ CHOKA, M-RAP, GOSBY, MABESTE, VANESSA MDEE, DEDDY wote watakuwepo @ MAKUMBUSHO YA TAIFA TAREHE 30/04/2013 ku perform kwenye mashindano ya REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN. IT WILL BE BIG!!! 
DO NOT MISS OUT

Ticket za MISS DAR INDIAN OCEAN Ni Shilingi 15,000/= kwa atayenunua kwa vituo vya mauzo Shear Illusion-Mcity, Samaki Samaki-Mcity na Posta/Samora/Twn Zizou fashions Sinza na Nyumbani Lounge..Kesho Mlangoni ni Sh 20,000/= Get it Noooow.

No comments: