22.11.13

Sunday, April 07, 2013

(News) Y-TONY MSANII WA KIZAZI KIMPYA ANAYEWASUMBUA VIJANA WENZAKE

Jina la kisanii analojulikana nalo ni Y-Tony msanii mzuri anayekuja vizuri kwenye tasnia hii ya bongo fleva mpaka kuweka gumzo kitaa na kwa mabinti wanaoupenda sauti yake na mziki wake. Kwa sasa yupo jikoni anapikapika vitu vingine vipya na anaahidi kuwa ujio wake huu sasa hivi utakuwa gumzo kuzidi kazi zake zilizopita.

No comments: