22.11.13

Saturday, April 20, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye Birthday Party ya CRAMA BOY

Usiku wa kuamkia leo ilikuwa bday party ya mwanangu mwenyewe CRAMA BOY, na aliamua kuwaalika washkaji zake kibaooo haswa washkaji ambao wako nao BBM. Party hii ndogo iliyokuwa imenoga mapochopocho kibao ilifanyika pande za Sinza Palestina mtaa ambao alikuwa akikaa Babu Seya sehemu moja inaitwa FAY PUB Nay wa Mitego, Crama Boy, mwana na King Kapita

 Yusuph Mlela na Crama Boy

 Na mimi nilikuwepoooooo hahaaaa

 Huyu kijana anayelishwa keki ndio mtu ambaye anampiga picha Diamond na kuiendesha website ya Diamond, matukio yote mnayoyaona kwenye website ya Diamond basi huyu jamaa ndio muhusika, jina lake si limenitoka sasa wakati naandika haya maandishi hahaaa

Huyu ndio FAY mwenyewe na ndio mwenye hiyo PUB hapo nyuma yake.

No comments: