22.11.13

Monday, April 29, 2013

THE LEGENDS at ISUMBA LOUNGE EVERY SATURDAY

Unakumbuka? Raha za ki-legendary za muziki wa silentinn,bills,fmclub,carlifonia dreamers,mambo club,na tazara? Jumuika na malegends wenzako leo na kila jumamosi kuenzi nyakati hizo isumba lounge,jolly club kwa mchango wa elfu 10 tu mlangoni, karibu sana.  

Bonyeza hii link hapa chini uone kazi nzuri kutoka kwa DJ JD

No comments: