22.11.13

Monday, April 08, 2013

WARRIOURS FROM THE EAST - KILIMANJARO (OFFICIAL VIDEO)

HII NI VIDEO MPYA KUTOKA KWA KUNDI LA WARRIOURS FROM THE EAST TOKA ARUSHA.
HAWA NI JAMAA AMBAO WALISHINDA TUZO YA NGOMA BORA YA REGGAE MWAKA JANA KUPITIA TUZO ZA KILI.

HUU NI WIMBO UNAOITWA KILIMANJARO AMBAO MWANZO HADI MWISHO UNAUZUNGUMZIA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTAJA SIFA ZAKE NA KUPROMOTE UTALII WA VIVUTIO VYETU NCHINI

KAMA MDAU UNAOMBWA KUIANGALIA NA KUTOA SUPPORT YAKO KAMA MPENDWA MDAU NA MPENZI WA MUZIKI WA REGGAE TOKA NYUMBANI TANZANIA

1 comment:

Anonymous said...

Big up warrious from the east.

Clar
The Netherland