22.11.13

Friday, May 24, 2013

(Album Cover & Audio) HII NDIO ALBUM YA KATO BY WAKUVWANGA (ORIJINO KOMEDI)

Ningependa kuchukua fursa hii kukushirikisha kwenye kampeni yetu ya kwanza kutka kampuni hii ambayo inahusisha usambazwaji wa DVD za album ya kwanza ya Wakuvwanga inayojulikana kama KATO.Album hii inatarajiwa kuzinduliwa na kuanza kuuzwa tarehe 31st May 2013 siku ya ijumaa saa 12 asubuhi,wewe kama mmoja kwenye timu ya wapiganiaji haki za wasanii na una uwezo wa kuitangaza kazi hii tumeona tuwasiliane nawe moja kwa moja katika kutoa ujumbe huu kwa wananchi na wapenzi wako.
tunategemea kutoa pikipiki 5 wakati wa uuzaji huu ambazo zitapatikana kwa mtu yeyote ambaye atapata bahati ya kununua DVD yenye label ya pikipiki ndani.Tutakuwa na magari 5 abayo yatazunguka mji wa Dar Es Salaam kwa siku zote tatu kwa wananchi watakaonunua rejareja(ijumaa,jumamosi na jumapili) na kwa watakaotaka kununua kwa jumla watatakiwa kupika simu zifuatazo na kupewa maelekezo ya wapi kwenda kulipia mzigo watakaotaka na kuupata.
0656-621807 Famy
0718-852828 Waku
0717-792023 Mwasu

Tumeshatoa video 2 (angwisa na vatu) na audio zake kufanyia promotion hii.

1 comment:

Anonymous said...

Naona km kwny cover Kuna nyimbo za weusi