22.11.13

Sunday, May 26, 2013

(Audio) M2tatu ft Eslyne - Just wanna Dance

Toka New Way Music, Record label inayomilikiwa na producer Mosco wanakuja vijana watatu wakishirikiana na mwanadada Eslyne katika ngoma yao mpya inayoitwa "I jus Wanna Dance" ilorekodiwa katika studio za noizmekah chin ya Defxtro, Hii ngoma iwaendee club maniacs wote around tha world,Tunajipanga kushoot video yake anyday soon..kusikiliza I jus Wanna Dance bofya HAPA na endelea kusupport Tanzanian Music.For more info check na +255 718 402 868

No comments: