22.11.13

Thursday, May 23, 2013

(Introducing) DJ SAM MARK New DJ in town

Anajulikana kwa jina lakutafutia ugali DJ SAM MARK, ni DJ mpya machoni mwa wabongo ila Sam yeye udj alijifunzia kule kwa wenzetu Nairobi Kenya kwenye Academy moja inayoitwa Mixx Master. Ila kwa sasa yupo hapa mjini na mnaotembelea Club Bilicanas basi mnaweza kusikia milazo ya DJ SAM MARK hapo ila anasema yupo Bills kwa muda na mbali na udj pia kwa sasa anatengeneza Mix Tape za video so mkae mkao wa kuziona DVD Mix Tape hizo.
Unaweza kumcheck DJ Sam Mark kwenye mitandao ya kijamii kama
Facebook/djsam mark
Twitter/djsammark

No comments: