22.11.13

Friday, May 24, 2013

NATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WANGU WOTE WA DJCHOKAblog MLIOKO KOTE DUNIANI.


Kama wewe ni mtembeleaji wa DJCHOKAblog basi naomba hivi ukibahatika kuwa mtembeleaji wa blog na pembeni ukaona ile views imeonyesha 7000000 naomba uipige picha halafu unitumie hiyo picha kwenye email yangu hii djchoka84@yahoo.com kama unavyoiona picha hii hapa nilivyofanya au kwa njia yako yoyote ile.

5 comments:

Anonymous said...

dj choka asante kwa kutujali watembeleaji wa blog yako,"INAFURAHISHA" binafsi nimtembeleaji mzuri wa blog yako hata kuna time nahisi kabisa dj choka hajaweka kitu sasa hivi,ila lazima nifunguwe blog yako unajua kwa nini? Sababu huna ubinafsi umewapa nafasi bloggers wenzio,anyway kiukweli nataka kushinda hii sababu sijawahi kushinda chochote kile ktk maisha yng hata km zawadi nindogo haijalishi ilimradi niwemshindi naomba mungu anijalie nibahatike email yng itakuwa imemalizia 14 lol.

Anonymous said...

poa

ally mohamedi said...

mtu anaweza kufanya editing akakutumia mtu wangu.

Anonymous said...

tuko pamj braza
ni d km d at daudy daud

Anonymous said...

pa,jaaa brooo