22.11.13

Wednesday, May 29, 2013

(News) Show ya miaka 13 imesogezwa mbele kupisha msiba wa ALBERT MANGWEAR "LADY JAY DEE"

Akiwa anaojiwa na East Africa Radio kipindi cha SUPER MIX na mtangazaji Zembwera msanii mkongwe Lady Jay Dee alikuwa na wakati mgumu sana alipokuwa akiulizwa unamuelezeaje msanii Mangwear, Jide alikuwa mwenye huzuni sana na alikuwa akijibu huku akitokwa na machozi. Kuhusu show yake iliyokuwa inatakiwa ifanyike kesho kutwa Ijumaa Lady Jide alisema imebidi aisogeze mbele kidogo mpaka msiba huu upite kwanza ndipo atasema tarehe rasmi.

No comments: