22.11.13

Wednesday, May 22, 2013

(Photo) IZZO BIZNESS ndani ya CLUB VIBE Mbeya mwisho wa mwezi huu

Kwa wakazi wote wa Mbeya na mashabiki wa Izzo Bizness mtoto wenu atashuka hapo siku ya tarehe 31 katika ukumbi wa CLUB VIBE akiwa ameambatana na wasanii wenzake kwa kiingilio cha elfu 7 tu.

No comments: