22.11.13

Tuesday, May 21, 2013

(Photo's) Jiachie na camera ya DJCHOKAblog at SAMAKI SAMAKI Mlimani City

Jana msanii wa bongo fleva ambaye nyota yake ilitokea kwenye shindano la Bongo Star Search hapa namzungumzia BELLA KOMBO alikuwa anasherehekea siku yake yakuzaliwa pande ya Samaki Samaki Mlimani City. Ilikuwa ni Dinner Party akaalika washkaji zake kadhaa na kula nao kwa pamoja na siku ikaishia hapo. 


5 comments:

Anonymous said...

Nauliza tu.. si amemludia bwana uyu a.k.a mlokole???

Anonymous said...

Mmtixha mbovu mnyamwez from weuc najua kama pesa hazitosh

Anonymous said...

Lakin poa tu

Anonymous said...

Lakin sawa

Anonymous said...

Du