Baucha kwa steji alitoa burudani nzuri sana
Flora moja ya majaji alikuja kutaja walioingia 5 bora
Hii ndio ikawa 5 bora ya Redd's Miss Dar Indian Ocean
Deddy na Mabeste kwa steji wakiimba DOLE
M-Rap na Deddy kwa steji wakiimba DESTINY
Vanessa Mdee na Gosby kwa steji wakiimba CLOSER rmx
Diana mshindi wa mwaka jana na ndio mwaka huu amelivua taji hilo na kumpatia mwingine
Na mshindi wetu kwa mwaka huu anaitwa LUCY TOMEKA ana umri wa miaka 21.
No comments:
Post a Comment