Ile album ya kato ya msanii wa origino komedi isaya mwakilasa
ajulikanaye kama baba andunje inaanza kuingia madukani dar es salaam
tarehe 31mei ijumaa na wakati wa uuzaji huo wa DVD Pikipiki tano za
aina ya soundo zitashindaniwa,watanzania watano wanatarajiwa kushinda
pikipiki hizi kwenye siku ya ijumaa jumamosi na jumapili tarehe 31-2
june,nunua orijino kopi yako ya DVD hii ili upate kuwa mshindi
mmojawapo..hapa chini ni picha za press conference mchana huu wa
alhamisi ya tarehe 30 mei 2013.
Ahsante
No comments:
Post a Comment