22.11.13

Friday, June 21, 2013

(Audio) Chipukizi ChopaBoy ft MayChedda

ChopaBoy aka William Munishi ni msanii chipukizi wa rap katika game akiwa anatokea arusha na hapa ameflow juu ya mdundo wa marekani akimshirikisha mwanadaad MayChedda katika chorus ya wimbo HAYA MAISHA pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania

1 comment:

ndo dawa said...

habari,mimi naitwa Masanja Cosmas umri miaka 18,natafuta mdhamini wa kuweza kunipa support,mimi nafanya mziki wa reggae na dancehall nipo mwanza
kwa mawasiliano zaidi email yangu hii masanjacosmas@gmail.com,asante