22.11.13

Wednesday, June 26, 2013

(Audio) MwanaFA & AY Ft J Martins - Bila Kukunja Goti

Ni ngoma mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa Mwana Fa pamoja na AY wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria maarufu kama J Martins na ngoma inaitwa “BILA KUKUNJA GOTI”. Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Marco Chali kutoka Mj Records.

No comments: