22.11.13

Tuesday, June 25, 2013

(News) ACCOUNT YA FACEBOOK YA JOYCE KIRIA IMEKUWA HACKED

Mwanamama Joyce Kirika kutoka kipindi cha WANAWAKE LIVE kipindi kinachorushwa na EATV watu wasio na huruma wamehack account yake ya Facebook juzi jumapili majira ya saa nane mchana. Kwa hiyo mwanamama huyu mwenye watoto wawili anawaomba ndugu jamaa na marafiki kuanzia siku hiyo chochote kitakachotumwa katika account hiyo basi juwa sio yeye.

Account yenyewe ni hii

No comments: