Kamati ya msiba tunaomba kutoa ya taarifa
kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ya
tarehe 2/06/2013 kama ilivyo taarifa hapo awali, hii ni kutokana na sababu
zilizokuwa nje ya uwezo wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili
kutoka kwa wenzetu/wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara
tutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi.
Tunaomba radhi watanzania wote kwa
usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane
na uvumilivu kwa hili.
No comments:
Post a Comment