22.11.13

Thursday, June 20, 2013

(Photo) Furaha ya burudani ya miaka ilee sasa imerejea ndani ya ISUMBA LOUNGE

Melegendari sasa wamekiri kuwa walichokikosa kwa muda mrefu, sasa kinapatikana isumba lounge -jollies club kila ijumaa na j'mosi. Ni katika night of the legends na DJ John Dillinga aka The Legend is Back, DJ Fast Eddy na DJ Young Kelvin. Njoo ujumuike na malegendari wenzako ukumbukie wakati muziki ukiitwa muziki. Milango iko wazi saa 3 usiku, kiingilio 10,000/-. Karibu sana. 4 more info or comments like facebook page @www.facebook.com/pages/DJ-JD or follow instagram @DJJDTHELEGEND

No comments: