22.11.13

Wednesday, June 26, 2013

(News) Je unahisi unajua kucheza na ungependa kutokea katika video ya mwanamuziki MKUBWA hapa Bongo?

Ule msako unaendelea, je unahisi unajua kucheza na ungependa kutokea katika video ya mwanamuziki MKUBWA hapa Bongo? Huu ni wakati wako sasa, njoo pale KIDA PLAZA old bagamoyo road, inatazamana na Mbalamwezi Beach au cine Club Jumamosi tarehe 29, Ghorofa ya pili chumba namba 202 saa nne asubuhi na mengineyo tuachie sisi,  zingatia muda na tokea kimauzo, mtaarifu na mwenzako na ukifanikiwa kupita katika mchujo, basi utalipwa kutokea katika video, Be There,