22.11.13

Thursday, June 13, 2013

(Photo) KALA JEREMIAH amkabidhi Mama mzazi wa Albert Mangweha tuzo yake

Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-146 comments:

Anonymous said...

u dd great bro,ts nice

Anonymous said...

mpaka amekufa..mbna wabongo mnapenda kupiga kampeni kwene mazish ya mtu

Anonymous said...

Safii bro. Ni heshma

Anonymous said...

Big up xana

Anonymous said...

Big up,,,,nimependa xn hicho kdg kugawana na wenzako,,,,Utafika mbali KALA

Anonymous said...

Wew mbona alvyokuw hai hukuonesha mfano? Kaa kmyaaaa!! Big up kala