22.11.13

Tuesday, June 04, 2013

(Photo) LIVE tukiwa barabarani tukiupeleka mwili wa marehemu Mangweha Hosp Mwimbili

eMuda huu ni msafara wakumpeleka marehemu Albert Mangweha hosp kuu ya Mwimbili kumpumzisha. Hapa barabarani ni wananchi wamezuia gari lililobeba jeneza na wakitaka litolewe nje walibebe mpaka hospital ya Mwimbili.

1 comment:

Anonymous said...

Kaka hosp ya mwimbili ndio gani hiyo?unamaanisha muhimbili?