22.11.13

Sunday, June 02, 2013

(Photo's) LIVE kutoka Kinondoni Studio kwenye KITCHEN PARTY ya FLORA MVUNGI

Usiku huu mwanadada Flora Mvungi kama wengi tunavyomfahamu lakini nimeambiwa na mume wake mtarajiwa H.BABA kwamba kwa sasa atakuwa akiitwa KHADIJA FESTO MVUNGI. Sasa hivi ni Kitchen Party yake ambayo inafanyika hapa Kinondoni kwenye ukumbi mmoja unaoitwa LIVE STONE

2 comments:

festor eliya said...

itakua vzur

Anonymous said...

ongera cster uji2nze ss sku mana a2oi mtunze baba