Sasa hivi kinachoendelea hapa Leardes Club ni mashindano ya Pool Table kwa vyuo vikuu vyote ambako mchezo huu ulipita. Mashindano haya yapo leo na yataendelea kesho ambapo itakuwa fainali yenyewe na mshindi wa kwanza kuondoka na Mil mbili na laki 5
Oscar Sherukindo akiojiwa na waandishi wa habari waliofika hapa viwanjani..
No comments:
Post a Comment