22.11.13

Friday, June 14, 2013

(Photo's) LIVE kutoka Mikocheni nyumbani kwa marehemu LANGA KILEO

Hapa ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah

1 comment:

Anonymous said...

Kudos to u kala jeremiah .cjui fresh mziki wako ila dude unashiriki kikamilifu kwenye matatizo ya ur fellow artists .keep that up ,uwainfluence na wengine ,Kudos Dogo.